Ipo siku CHADEMA watamsafisha Zitto na Dr.Slaa

KILLERS KISS GUY

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2013
Posts
718
Reaction score
259
Kwa Kweli nimekaa na nimetafakari sana kuwa siasa haina uadui wa kudumu wala urafiki wa kudumu hasa baina ya viongozi cha chama, lakini siasa hiyo hiyo inaweza kuleta uadui mkubwa miongoni mwa wananchi na chuki ikajengeka lakini si kwa viongozi.

Kwa mda mrefu tangu nianze kufatilia siasa na kujiunga na chadema nilijua kabisa adui mkubwa wa CHADEMA ni UFIDi na miongoni mwa mafisadi wakuu hapa nchini ni Lowassa, lakini ghafla bin vuu mtu tuliye tumia miaka nenda rudi kumuita fisadi lakini tulimgeuza nabii wa siasa within a one month hivyo naamini kuwa hata akina Zitto na Slaa one watasafishwa na CHADEMA hii.Adui yangu mkubwa hapa nchini ni CCM.
 
Umetumwa nn au Viroba vinakusumbua
 
Hapo kwenye bold ndo nini hicho:lock1:
anyway, Zito ni msafi hahitaji kusafishwa, Hauwezi safisha sabuni
 
Kwa Kweli nimekaa na nimetafakari sana kuwa siasa haina uadui wa kudumu wala urafiki wa kudumu hasa baina ya viongozi cha chama, lakini siasa hiyo hiyo inaweza kuleta uadui mkubwa miongoni mwa wananchi na chuki ikajengeka lakini si kwa viongozi.

Kwa mda mrefu tangu nianze kufatilia siasa na kujiunga na chadema nilijua kabisa adui mkubwa wa CHADEMA ni UFIDi na miongoni mwa mafisadi wakuu hapa nchini ni Lowassa, lakini ghafla bin vuu mtu tuliye tumia miaka nenda rudi kumuita fisadi lakini tulimgeuza nabii wa siasa within a one month hivyo naamini kuwa hata akina Zitto na Slaa one watasafishwa na CHADEMA hii.Adui yangu mkubwa hapa nchini ni CCM.

Kumbe na wewe ni Cdm?
 
kwani bado mnalipwa ile buku teni hadi sasa kuandika propaganda feki
 
Back
Top Bottom