IPO KIARAKA- MBELE YA BUNJU SOKONI

jopss

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2015
Posts
297
Reaction score
454
  • Kiwanja kina ukubwa wa Meter² 748(22*34)
  • Kipo umbali wa 1.7 Kilometres kutokea barabara ya Bagamoyo ( Ali Hassan road) unakata kuelekea EFATHA SEMINARY na shule ya KIPINGU.
  • Umeme na maji ya Dawasco yapo karibu . Nguzo ya umeme ipo kulia kwenye mpaka wa kiwanja na barabara.
  • Mawasiliano kwa atakae hitaji yafanyike kupitia 0629037727
 
Laki nane mbona ndogo sana kwa hicho kiwanja?Any way very reasonable price
 
Kiwanja kikibwa hivyo unauza laki nane?!
Mkuu kweli vyuma vimebana.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…