realznzrian
Member
- Jan 20, 2012
- 20
- 2
Jussa ipigwe kura ya
kutokuwa na imani na
gnu mimi ni mkaazi wa mji
mkongwe, regardless
chama changu/au kama
sina chama.
Mwakilishi wangu jussa,
nataka upeleke baraza la wawakilishi mada ya
kutokuwa na imani na rais
shein na serikali ya umoja
wa kitaifa. Hivyo ipigwe kura ya
kutokuwa na imani na
shein pamoja na serikali ya
gnu.
Twende kwenye uchaguzi;
lakini suala la mipaka yetu kuingiliwa na tanganyika
hatulikubali. Eneo la
zanzibar libaki kuwa la
zanzibar. Masuala ya kiuchumi
hayamo kwenye muungano
(sababu kubwa ya kupeleka
ombi la kuongezewa mpaka
ni kukuza uchumi kwa njia
ya mafuta,gas na kuvua samaki; pia wameongezea
kisingizio cha usalama wa
piracy ya wasomali) kwa nini kura ya kutokuwa
na imani na shein:- tangu kuja kwake
madarakani amelirudisha
nyuma suala la mafuta
kwenye mjadala wakati
tulishalimaliza katika
muhula uliopita. Lengo lake tulitatue katika
ngazi ya muungano; sasa
muungano wameshampa
jibu hilo namna ya
kulitatua ni kuongeza
mpaka wa jamhuri wa muungano (baadae
watakwambia mafuta yamo
katika mpaka wa jamhuri
ya muungano, kwahivyo
mafuta ni ya muungano)
na wakati hili linaendelea serikali ipo kimya; haitoi
tamko tukaisapoti;
hii
inaonyesha yupo pale kwa
maslahi ya tanganyika. Kwa kumalizia jamhuri ya
muungano haina mipaka
kwa sababu si nchi (jamhuri
maana yake ni aina ya
utawala; kinyume chake ni
usultani/ukhalifa/ufalme/ nk). Nchi ni mbili zenye mipaka
yake; baharini huku
wenyewe ni zanzibar;
tanganyika haijawahi kuwa
na mpaka wa bahari
kutokuwa na imani na
gnu mimi ni mkaazi wa mji
mkongwe, regardless
chama changu/au kama
sina chama.
Mwakilishi wangu jussa,
nataka upeleke baraza la wawakilishi mada ya
kutokuwa na imani na rais
shein na serikali ya umoja
wa kitaifa. Hivyo ipigwe kura ya
kutokuwa na imani na
shein pamoja na serikali ya
gnu.
Twende kwenye uchaguzi;
lakini suala la mipaka yetu kuingiliwa na tanganyika
hatulikubali. Eneo la
zanzibar libaki kuwa la
zanzibar. Masuala ya kiuchumi
hayamo kwenye muungano
(sababu kubwa ya kupeleka
ombi la kuongezewa mpaka
ni kukuza uchumi kwa njia
ya mafuta,gas na kuvua samaki; pia wameongezea
kisingizio cha usalama wa
piracy ya wasomali) kwa nini kura ya kutokuwa
na imani na shein:- tangu kuja kwake
madarakani amelirudisha
nyuma suala la mafuta
kwenye mjadala wakati
tulishalimaliza katika
muhula uliopita. Lengo lake tulitatue katika
ngazi ya muungano; sasa
muungano wameshampa
jibu hilo namna ya
kulitatua ni kuongeza
mpaka wa jamhuri wa muungano (baadae
watakwambia mafuta yamo
katika mpaka wa jamhuri
ya muungano, kwahivyo
mafuta ni ya muungano)
na wakati hili linaendelea serikali ipo kimya; haitoi
tamko tukaisapoti;
hii
inaonyesha yupo pale kwa
maslahi ya tanganyika. Kwa kumalizia jamhuri ya
muungano haina mipaka
kwa sababu si nchi (jamhuri
maana yake ni aina ya
utawala; kinyume chake ni
usultani/ukhalifa/ufalme/ nk). Nchi ni mbili zenye mipaka
yake; baharini huku
wenyewe ni zanzibar;
tanganyika haijawahi kuwa
na mpaka wa bahari