Ipi tofauti katika course hizi mbili?

probaraka

Member
Joined
Jul 8, 2017
Posts
15
Reaction score
1

Katika hizo course mbili hapo nini tofauti yake katika usomaji wake?
Na kwa mtu mwenye D-chemisty, D-physics na C-Biology inaingia hapo kweli? kwani pananichanganya kidogo!

Naomba ushauri na ufafanuzi wenu ndg zangu. Ahsante

Form deadline NECTA 2017
 
We omba tu usicomplicate sana.. utacheck zali lako.. mwisho ukaanza kujiulizauliza till deadline inafika...
Vigezo vikubwa sana mwaka huu.. kwa vyuo vya private itawalazimu kuchukuwa hata wale wenye D D ili wapate wanafunzi..
 
pwpw & ahsante pia kwa hilo

Sent from my 5023F using JamiiForums mobile app
 
We omba tu usicomplicate sana.. utacheck zali lako.. mwisho ukaanza kujiulizauliza till deadline inafika...
Vigezo vikubwa sana mwaka huu.. kwa vyuo vya private itawalazimu kuchukuwa hata wale wenye D D ili wapate wanafunzi..
Usidanganye umma... Waliogawanya wana maana sahihi
 
Usidanganye umma... Waliogawanya wana maana sahihi
,,, mfano kwenye "Tech Cetificate in Clinical Medicine" wana-consider D pass kwenye PCB pamoja na D pass kwenye English na Math's na hapo nimekithi vigezo...

Hivyo nikianza na cetifivate miaka miwili kisha niingie kwenye kazi kwa miaka miwili kisha nije ku-upgread nisome "Odinary Diploma in Clinical Medicn" kulingana na wanvyo elekeza hapo juu kwenye guideline...

vp mkuu hapo ntakuwa nipo sawa kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…