Ipi siri ya wadada kupenda kunywa Hanson Choice badala ya Konyagi na Valuu?

Azoge Ze Blind Baga

JF-Expert Member
Mar 8, 2019
366
1,378
Nimeshangaa sana hii hali

Una kuta mdada sister duu, nywele bandia, kucha bandika makeup ya kutosha yupo bar anakunywa hanson choice

Wadada wengi siku hizi ukiwakuta bar wenyewe basi wapo na mzinga wa hiyo pombe kali na si zile savanna na desperado na Windhoek wanazopenda kunywa wakiwa na masela.

Kwa nini mnakimbia kunywa valuu na konyagi na kuipenda hanson choice kuna siri gani hapa wadada??
 
Screenshot_20230802_121259_com.opera.mini.native.jpg
 
Ile kitu ni lain sana na haina hangover na inatoka shinyanga tu hapo, na hata spirit tunazoona za maana ni za kawaida tu kwao tena bei chee sema ushamba wa kuona vya nje ni bora lakini hansonchoice kapindua meza ya spirits nyingi bongo na hakuna ataemkaribia hivi karibuni
 
Back
Top Bottom