Tetramelyz
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 4,364
- 12,457
Kama ni matumozi ya kawaida tafuta Nokia tochi
okay
Hii ndi simu sahihi kati ya hizo tatu Tetramelyz
Kwa vigezo vifuatavyo
- Battery size / Talk time
- RAM &
- ROM size
Mkuu, bei ya hii simu ipoje? Na nikiitaka naipataje?Ndugu Tetramelyz
Napenda kuchukua nafasi hii kukujulisha kuwa simu yako imewasili nchini leo.
View attachment 498264
View attachment 498262
Taratibu za kukutumia mkoani ziko tayari.
Nitakupa update zaidi kwa simu namba yako.
Kwa wana JF wengine iwapo kama kuna bidhaa yeyote unaihitaji toka nje ya nchi tumia hii thread HAPA www.v.ht/buy4me kufanikisha manunuzi
- Taratibu za kuipata nimeweka kwenye hii thread: Nunua bidhaa: Kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa click haya maandishiMkuu, bei ya hii simu ipoje? Na nikiitaka naipataje?