Ipi pikipiki imara na madhubuti kati ya Boxer 150 na TVS HLX 150?

Mkuu nimekupa like 100,imeomhea true,unajua na Mimi nilikuwa nampango waa kuwa na bike ambayo na affordable ,naingia job SAA kumi jion natoka SAA saba Usk,naweza muichukua some time nafanyia kazi
 
Umenimaliza KBS mkuu safiiii
 
Ivi Boxer 150BM katika litre inakula kwa kilometers ngapi? Msaada apo
 
Mkuu nimekupa like 100,imeomhea true,unajua na Mimi nilikuwa nampango waa kuwa na bike ambayo na affordable ,naingia job SAA kumi jion natoka SAA saba Usk,naweza muichukua some time nafanyia kazi
chukua 125 hutaijutia..
 
Kumbe kwa TVs inakuwa bado sio affordable. Ivi zile boxer 125BM azizingui zile ktk sehemu zenye milima
150 ni engine kubwa mkuu so hata ulaji wake wa mafuta utakuwa tofauti!.. Ila hizo 150 sasa kwenye milima ndo utakuwa umezipatia maana zina nguvu kubwa kuipanda itakuwa easy zaidi tofauti na 125!..
Sasa hivi naifanyia research 150X kuiangalia uwezo wake!..
 
Sema kwa mazingira ya Dar es salaam ni bora kuwa na Boxer 150BM. Maana zile ndio zipo sana sokoni, hata kuisukuma ni rahisi zaidi ya hii TVS hlx 125. Maaana, Nina tabia nikiona kitu kinanunuliwa sana, lazima kuna kitu mbele
 
Mkuu me nikupe tu kaassignment nenda Makumbusho, Sayansi, Tabata yote Ubungo na Mwenge yote angalia kuna aina gani ya pikipiki then uliza madereva wanapendelea ipi?..
 
Mwenyewe ukifika vigezo natoa mktaba mkuu!..Zinalipa yeah hela dsm ipo malengo tu!.
Wick nashkuru sana nilipita hapa nimeweka hela kidogo kwenye bii biashara nashkuru kwa msaada wako,kuna siku ulisema kuna kampuni inakusimamia chombo chako kama ukishindwa unaweza kunipa maelekezo mazuri zaidi
 
Shukrani mkuu, labda ungeniambia upo wapi wewe?..Sidhani kama wapo kote!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…