Issue si kufaulu kimagumashi issue ni kusoma kitu sahihi walimu sasa ivi serikali imewatupa sana yani si fanu ya kusomea ni bora aende ardhi pale kuna course hata usipo ajiriwa unakula tu mtaani pesa
Issue si kufaulu kimagumashi issue ni kusoma kitu sahihi walimu sasa ivi serikali imewatupa sana yani si fanu ya kusomea ni bora aende ardhi pale kuna course hata usipo ajiriwa unakula tu mtaani pesa
kasome agriculture engineering SUA hiyo unaweza jiajir kwa PCM yako ukisoma coz kwa sifa ambazo huwez anza mwenyew kujiajil utapata shida .ungekuwa umesoma biology ningekushaur usome veterinary medicine,animal science,general agriculture n.k hizo kama kutakuwa hakuna ajira kabisa waweza anza kujiajil