Mzumbe wana engineering (be it of any kind) au labda sielewi maana ya engineering in a broad sense. Najaribu kufikiria unaomba kazi kuwa ulisoma industrial engineering Mzumbe the would be employers expertise yako and training watai-view vipi?Wakuu nina DDE pcm,mwanzo nilichagua mech DIT ila nimeambiwa kua sina vigezo,nataka nichange niweke mojawapo kati ya bsc general, bsc environmental science and management au bsc industrial eng and management(Mzumbe).Naombeni ushauri wenu ipi ni bora kati ya hizo au kama munaweza kupendekez course nyingine tofauti na hizo itakua vizuri zaidi
Mkuu nilikua na mpango wa kusoma engineering ila naona nimegonga mwamba,nimeamua kusoma course nyengine yoyote ambayo ni nzuri,sasa ndio naomb mnisaidie hiyo courseKwani we unataka kuwa nini? Hakuna mwongozo wa qualifications wa kila kozi na kila chuo? Tuliza akili.
Mkuu hiyo ni kozi ya management sio engineering inatolewa mzumbeMzumbe wana engineering (be it of any kind) au labda sielewi maana ya engineering in a broad sense. Najaribu kufikiria unaomba kazi kuwa ulisoma industrial engineering Mzumbe the would be employers expertise yako and training watai-view vipi?
Industrial engineering management?Mkuu hiyo ni kozi ya management sio engineering inatolewa mzumbe
bioc hajasomaaaaMkuu hii mpaka uwe umesoma biology/botany
biology hajasoma huyoooo mdau??Sijakupata freshi hapa
nc so vpi general agricaturalNi mimi kaka,nimesoma PCM
Wakati huu unaweza mshauri mtu asome education duuomba education mkuu,matokeo yako ya kawaida sana