Kibra49 Senior Member Jul 19, 2017 177 47 Dec 4, 2018 #1 Habari wana JF naombeni mnijuze kuhusu hizi kozi mbili utofauti wake, wigo katika kazi pia ipi ni nzuri kuisoma
Habari wana JF naombeni mnijuze kuhusu hizi kozi mbili utofauti wake, wigo katika kazi pia ipi ni nzuri kuisoma
W Walyobahamza Member Oct 23, 2016 35 20 Dec 4, 2018 #2 Kibra49 said: Habari wana Jf naombeni mnijuze kuhus izi kozi mbili utofauti wake ,wigo katika kazi pia ipi ni nzuri kuisoma Click to expand... Bado una wazo LA kuajiliwa tu 21 century!!!! Kijana AMKA
Kibra49 said: Habari wana Jf naombeni mnijuze kuhus izi kozi mbili utofauti wake ,wigo katika kazi pia ipi ni nzuri kuisoma Click to expand... Bado una wazo LA kuajiliwa tu 21 century!!!! Kijana AMKA
B Bacary Superior JF-Expert Member Jul 3, 2014 3,722 1,511 Dec 5, 2018 #3 Mpaka Leo hii haujui unataka kuwa nani?
Kibra49 Senior Member Jul 19, 2017 177 47 Dec 6, 2018 Thread starter #4 Unajua vitu vingine mkuu ni rahis sana kama unania ya kunisaidia kujua ilo basi unisaidie mm ninasomea automobile engineering kuna ndugu yangu kaniomba nimsaidie kwa wanaojua kwaio kama hujui usiongee maneno ya kukashifu
Unajua vitu vingine mkuu ni rahis sana kama unania ya kunisaidia kujua ilo basi unisaidie mm ninasomea automobile engineering kuna ndugu yangu kaniomba nimsaidie kwa wanaojua kwaio kama hujui usiongee maneno ya kukashifu
Kibra49 Senior Member Jul 19, 2017 177 47 Dec 6, 2018 Thread starter #6 Shukran atleast umeongea kitu Albizo said: Accounts imetulia. Click to expand...
Mr gyee Member Oct 2, 2018 12 9 Dec 9, 2018 #8 Okie account iko good ila hutapata kazi labda ukimaliza nikuajili
Kibra49 Senior Member Jul 19, 2017 177 47 Jan 26, 2019 Thread starter #9 Wewe inaonekana una matatizo ya akili Mr gyee said: Okie account iko good ila hutapata kazi labda ukimaliza nikuajili Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe inaonekana una matatizo ya akili Mr gyee said: Okie account iko good ila hutapata kazi labda ukimaliza nikuajili Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
M Mpombote JF-Expert Member Dec 19, 2017 1,944 1,488 Jan 26, 2019 #10 Soma Accounts ila BAF iko limitted Mkuu accounts pana.