Ipi ni shahada nzuri kati ya 'Accounting' na 'Banking and Finance'

Kibra49

Senior Member
Jul 19, 2017
176
45
Habari wana JF naombeni mnijuze kuhusu hizi kozi mbili utofauti wake, wigo katika kazi pia ipi ni nzuri kuisoma
 
Unajua vitu vingine mkuu ni rahis sana kama unania ya kunisaidia kujua ilo basi unisaidie mm ninasomea automobile engineering kuna ndugu yangu kaniomba nimsaidie kwa wanaojua kwaio kama hujui usiongee maneno ya kukashifu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom