Ipi ni njia sahihi ya kusalimiana.


Babu sea

Babu sea

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2013
Messages
464
Likes
126
Points
60
Age
36
Babu sea

Babu sea

JF-Expert Member
Joined Nov 14, 2013
464 126 60
Kama unampita mtu unamsalimia na yeye anakujibu kama amesikia...sasa pengine huna uhakika kama amesikia salam yako je unapaswa urudie tena kumsalimia?
Tatizo linakuja pale wamekusikia ila uko out of order mfano makabila mengine salam zinatofautiana kutokana na mda kama vile asubuhi salam yake,mchana na jion kunasalam yake LAKINI wasipoisikia hata hiyo salam (japokuwa ipo out of order) watadhani unajeur(oddly).Hii imekuwa ilinitokea sana kwenye maisha yangu
NALAZIMIKA SANA KUONGEA Kwa sauti pindi ninapomsalimia mtu meanwhile sijui cha kufanya nisaidieni.
 
Public Enemy

Public Enemy

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2011
Messages
2,123
Likes
573
Points
280
Public Enemy

Public Enemy

JF-Expert Member
Joined Aug 18, 2011
2,123 573 280
hata sijakuelewa ndugu! Una maanisha nini kwani?
 
M

Mokoyo

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2010
Messages
15,213
Likes
2,350
Points
280
M

Mokoyo

JF-Expert Member
Joined Mar 2, 2010
15,213 2,350 280
inategemea na mtu na mtu, umri, relationship, status etc
 
Babu sea

Babu sea

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2013
Messages
464
Likes
126
Points
60
Age
36
Babu sea

Babu sea

JF-Expert Member
Joined Nov 14, 2013
464 126 60
hata sijakuelewa ndugu! Una maanisha nini kwani?
nimesema kama umetoa salam halaf uliye msalimia haja sikia je unapaswa kurudia
 
Majigo

Majigo

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Messages
5,413
Likes
174
Points
160
Majigo

Majigo

JF-Expert Member
Joined Feb 23, 2012
5,413 174 160
mada zingine banah!!
 
miss chagga

miss chagga

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2013
Messages
57,572
Likes
31,022
Points
280
miss chagga

miss chagga

JF-Expert Member
Joined Jun 7, 2013
57,572 31,022 280
Babu sea duh! uelewa wangu kwenye hii mada umekuwa mdogo aisee..
 

Forum statistics

Threads 1,249,421
Members 480,661
Posts 29,697,720