Ipi ni music player nzuri ya mp3?

Kwenye PC huwa napenda kutumia JETAUDIO binafsi naikubali sana 🙏🙏
 
Idake PowerAmp..sijui bado ipo hii..kitambo sana ..kinu kinatwanga sio poa..ukiplay ngoma tu unaona utofauti..sio kile ki music player cha google utopolo kabisa.
 
PowerAmp ni hatari sana ile app ila tatizo kulipia, me huwaga natumia mwezi free trial ikiisha basi naifuta
Kulipia pesa yenyewe ndogo tu mkuu..

Sema nini serereka tu na hiyo trial coz hata mimi kipindi hicho nadownload mp3 na kuzitunza nilikuwa natumia trial.

Nowdays nastream tu miziki kupitia Deezer ninayolipia 11k kwa mwezi premium.
 
Ok vizuri me ntailipia maana naipenda sana ile app
 
N7 music player iko poa bahati mbaya sikupata cracked
Ila now natumia jet audio plus inaunyama mwingi sna [emoji28][emoji119]
 
Idake PowerAmp..sijui bado ipo hii..kitambo sana ..kinu kinatwanga sio poa..ukiplay ngoma tu unaona utofauti..sio kile ki music player cha google utopolo kabisa.
Ni moto, niliamua kulipia baada ya cracked kuanza kuniletea bugs, saizi na enjoy tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…