mwakibholwa
Member
- Apr 15, 2021
- 7
- 5
Kama kichwa kinavyojieleza nisaidieni mp3 nzuri ya kisikiliza music.
Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
😂😂 nikuswitch sina haja ya hifi,sony system,sound barKwenye PC huwa napenda kutumia JETAUDIO binafsi naikubali sana 🙏🙏
PowerAmp ni hatari sana ile app ila tatizo kulipia, me huwaga natumia mwezi free trial ikiisha basi naifutaIdake PowerAmp..sijui bado ipo hii..kitambo sana ..kinu kinatwanga sio poa..ukiplay ngoma tu unaona utofauti..sio kile ki music player cha google utopolo kabisa.
Kulipia pesa yenyewe ndogo tu mkuu..PowerAmp ni hatari sana ile app ila tatizo kulipia, me huwaga natumia mwezi free trial ikiisha basi naifuta
Ok vizuri me ntailipia maana naipenda sana ile appKulipia pesa yenyewe ndogo tu mkuu..
Sema nini serereka tu na hiyo trial coz hata mimi kipindi hicho nadownload mp3 na kuzitunza nilikuwa natumia trial.
Nowdays nastream tu miziki kupitia Deezer ninayolipia 11k kwa mwezi premium.
Ni moto, niliamua kulipia baada ya cracked kuanza kuniletea bugs, saizi na enjoy tu.Idake PowerAmp..sijui bado ipo hii..kitambo sana ..kinu kinatwanga sio poa..ukiplay ngoma tu unaona utofauti..sio kile ki music player cha google utopolo kabisa.
Mimi navizia tu offer yangu nilinunua 2000PowerAmp ni hatari sana ile app ila tatizo kulipia, me huwaga natumia mwezi free trial ikiisha basi naifuta
Ulinunua lini mkuuMimi navizia tu offer yangu nilinunua 2000
Mda sana, sasa hivi Nimecheki playstore ni 7000.Ulinunua lini mkuu
Cheki hii musicoletKama kichwa kinavyojieleza nisaidieni mp3 nzuri ya kisikiliza music.
Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
Mimi ulinielekeza mda sana nilinunua 1500 kwa airtime dahh mpaka leo natumia ni nzuri sanaMda sana, sasa hivi Nimecheki playstore ni 7000.