Singasinga JF-Expert Member Joined Aug 27, 2011 Posts 2,741 Reaction score 3,316 Dec 7, 2023 #1 Habari wakuu Naomba kujua Curry powder ipi ni bora zaidi kwa sasa ambayo inaweza fanya mboga yangu ya bamia na nyanyachungu zitaste kama nyama roast.
Habari wakuu Naomba kujua Curry powder ipi ni bora zaidi kwa sasa ambayo inaweza fanya mboga yangu ya bamia na nyanyachungu zitaste kama nyama roast.
Mjanja M1 JF-Expert Member Joined Oct 7, 2018 Posts 4,197 Reaction score 14,896 Dec 7, 2023 #2 Wapishi wanakuja Mkuu. Kazi Kweli Kweli Mkuu Job True True General
kookaburra JF-Expert Member Joined Jan 31, 2021 Posts 562 Reaction score 1,421 Dec 7, 2023 #3 Kwa nini unataka ubadilishe ladha ya vegetable to beef? Na je hiyo ndiyo kazi ya curry powder? Anyway vifaa vyangu hivi hapa
Kwa nini unataka ubadilishe ladha ya vegetable to beef? Na je hiyo ndiyo kazi ya curry powder? Anyway vifaa vyangu hivi hapa
Singasinga JF-Expert Member Joined Aug 27, 2011 Posts 2,741 Reaction score 3,316 Dec 7, 2023 Thread starter #4 kookaburra said: Kwa nini unataka ubadilishe ladha ya vegetable to beef? Na je hiyo ndiyo kazi ya curry powder? Anyway vifaa vyangu hivi hapaView attachment 2835560 Click to expand... Naomba unifafanulie matumizi ya kila mojawapo kati ya hizo tatu.
kookaburra said: Kwa nini unataka ubadilishe ladha ya vegetable to beef? Na je hiyo ndiyo kazi ya curry powder? Anyway vifaa vyangu hivi hapaView attachment 2835560 Click to expand... Naomba unifafanulie matumizi ya kila mojawapo kati ya hizo tatu.
charrote JF-Expert Member Joined Aug 11, 2017 Posts 1,989 Reaction score 4,413 Dec 7, 2023 #5 Kuna curry powder fulani hv ipo kwenye kipakti chekundu aisee nzuri sana
Singasinga JF-Expert Member Joined Aug 27, 2011 Posts 2,741 Reaction score 3,316 Dec 7, 2023 Thread starter #6 charrote said: Kuna curry powder fulani hv ipo kwenye kipakti chekundu aisee nzuri sana Click to expand... jina hukumbuki?
charrote said: Kuna curry powder fulani hv ipo kwenye kipakti chekundu aisee nzuri sana Click to expand... jina hukumbuki?
Patra31 JF-Expert Member Joined Apr 24, 2020 Posts 6,934 Reaction score 13,950 Dec 10, 2023 #7 Curry powder (binzari) kazi yake sio kuleta ladha ya nyama kwenye chakula.
Robot la Matope JF-Expert Member Joined Apr 10, 2015 Posts 8,593 Reaction score 17,552 Dec 10, 2023 #8 kookaburra said: Kwa nini unataka ubadilishe ladha ya vegetable to beef? Na je hiyo ndiyo kazi ya curry powder? Anyway vifaa vyangu hivi hapaView attachment 2835560 Click to expand... Mkiugua Saratani mnaanza kutuhangaisha kuwachangia matibabu!! Ya nini yote hayoo???
kookaburra said: Kwa nini unataka ubadilishe ladha ya vegetable to beef? Na je hiyo ndiyo kazi ya curry powder? Anyway vifaa vyangu hivi hapaView attachment 2835560 Click to expand... Mkiugua Saratani mnaanza kutuhangaisha kuwachangia matibabu!! Ya nini yote hayoo???
Mbochong'a JF-Expert Member Joined May 2, 2011 Posts 771 Reaction score 1,321 Dec 18, 2023 #9 Nadhani kuna binzali na masala ni vitu viwili tofauti. Binzali inaleta rangi then masala ndio inaleta ladha.
Nadhani kuna binzali na masala ni vitu viwili tofauti. Binzali inaleta rangi then masala ndio inaleta ladha.