Uc browser ni muhimu hasa kwa wale wanaopenda ku copy content from locked page pia unaweza kuzuia ads kwa kulock..Ila haiwezi ku copy maandishi mengi kwa wakati mmoja.Pia uc ni nzur kwa kudownload ikiwa ni pamoja na pause na resume inakubali na inaboost speed.
Opera iko vizur kwa kuperuz pia iko vizur kwenye kucopy web content kubwa kwa wakati mmoja.....
Chrome natumia ya Computer ndio iko poa.