Buti la jeje
Member
- Sep 2, 2020
- 9
- 12
cha msingi soma kozi ya kawaida, sio zile unique, ila zingatia gpa juu ya 3.5 mpaka unamaliza, utafika mbali.Nilisoma HGE nina B-history C-Geography na D-Economics E-Bam.
Wale wazoefu na soko la ajira na muelekeo naomba mnishauri Degree gan ni nzuri kusoma chuo
Kasomee Marketing and Public RelationsNilisoma HGE nina B-history C-Geography na D-Economics E-Bam.
Wale wazoefu na soko la ajira na muelekeo naomba mnishauri Degree gan ni nzuri kusoma chuo
Achana na Education mara mia fata ndoto zako Ajira bahati ya mtuKama una uhakika wa maisha kasome course yoyote... Kama unategemea kuajiriwa haraka kasome Education...
Ajira zilizopo Tz kwasasa ni kada ya Elimu na Afya...
Jiunge na Jeshi la Wananchi au Jeshi la Polisi!Nilisoma HGE nina B-history C-Geography na D-Economics E-Bam.
Wale wazoefu na soko la ajira na muelekeo naomba mnishauri Degree gan ni nzuri kusoma chuo
Akatembeze mabeseni sio 😄Kasomee Marketing and Public Relations
Kwaiyo marketing wanatembeza mabeseni, mzee kama hujui taaluma za watu bora ukatulia.Akatembeze mabeseni sio [emoji1]
businesses administration au Marketing and public relations utakuja kunishukuru.Nilisoma HGE nina B-history C-Geography na D-Economics E-Bam.
Wale wazoefu na soko la ajira na muelekeo naomba mnishauri Degree gan ni nzuri kusoma chuo