Ipi inakuzingua, ya Preta au ya Rose?



Niambieni, ipi avatar gani inakuacha hoi? Aliyelala chali ni Preta na anayekonyeza ni Rose.

Mimi zote tamu.

ya preta its more practical and straight to the point,,,,,,,,,ya rose its more deceiving and make you wanna.......
 
Mambo,long time no see,hope you get what you wish for,cheers.

mambo poa tu my dear
vipi za kupotea??
holiday ilikuwaje?

mmmmhhh im still waiting for same of my wish to come true
good things take time.....

Heri ya mwaka mpya....
 
mambo poa tu my dear
vipi za kupotea??
holiday ilikuwaje?

mmmmhhh im still waiting for same of my wish to come true
good things take time.....

Heri ya mwaka mpya....
Mi mzima dear sikukuu ilikuwa nzuri,aah AD wacha hizo bana still waiting na umeshampata TF au ni penpal.
 
Mi mzima dear sikukuu ilikuwa nzuri,aah AD wacha hizo bana still waiting na umeshampata TF au ni penpal.

hahahahahahah lol
mmmhhhh mie na TF sasa tunaongelea Open Relationship
hahahahha lol

vizuri kukuona tena kwa kweli
 
hahahahahah lol
naona holiday yako ilikuwa nzuri...

maana naona maneno ya Uporoto ya mwakampya yameanza lol
Si unajua tena tunapunguziana mawazo kwenye keyboards zetu, usiku mwema muda wangu wa kulala umefika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…