Ipi flat screen bora kati ya matoleo haya?

Sorry nje ya mada. Tv yangu nikiangalia kupitia king'amuzi picha haiwi screen nzima inakuwa imejikata, space inabaki juu na chini lakini nikisema niangalie labda series au movie kutoka kwenye flash inaonekana vizuri screen nzima. Kwa mwenye kujua tatizo litakuwa nini.
 
55" brand hizo inakua bei gani mkuu.
 
Jaman inawwzekana anataka inch 43-50, aasa samsung inch 32 viTV vya mabibo hostel hivo, arboda inch 50 1.2m unapata ,halafu siku hizi mambo ya brand zilizotamba zaman yameishaaa, China wapo vizuri sana, ni kama simu uje umekariei samsung aakat kuna huawei kali za 2m+
 
Setting tu hazjakaa sawa
 

Hapo umechezea rimonti tu, sema tv gan maana setting kwenye rimonti huwa zinapishana.
 
saizi kubwa ya mwisho nchi ngapi?
 
aina gani?
 
Ukienda kwa mafundi TV samsung pia zimejaaa ,resolution kali but very delicate. Star X smart inch 50 unakula 4k kama kawa na fresh kabisa kwa bei poa tuu
what do you mean by saying 4k?
 
Bila shaka hutumii Hdmi cable wewe unatumia AV
 
Ngumu kidogo. Umkute mwenye uzoefu wa zote hizo ili akupe tathmini ya ukweli.
 
Nilinunua Sony Bravia ,,,kpnd tu zimetoka ,,,kipnd hicho tulikuwa tunselekea kombe la dunia ,,,kama sikosei,,,,,,,,Cha ajabu nimeitumia miaka miwili baada ya hapo ikaanza weka michirizi had leo haionyoshi chochotee,,,,
Kitu Sony Bravia nakikubali sana. Rangi nzuri na Speaker nzuri wala hauhitaji kuunganisha na Sabufa.
 
Acha kumdanganya mwenzio. Nina tv mbili LG na Samsung zote nlinunua 2015 ila ukizicheki ni km ndo zmetoka dukani.

Katikati hapo kuna rafiki zangu wamenunua Singsung na Aborder zote zishakufa. Rahisi ni gharama, hujiulizi bidhaa zinazofanana Moja iuzwe laki 5 na nyingne iuzwe laki 9?? Furahia hizo rahisi zako za kichina ipo siku zitakugharimu.
 
Kwa LG hapo sina la kusema,aborder hapana,samsung jina kubwa life span zero,star x inafaa kwa chumba cha watoto,tena uitundike ukutani juu kabisa ambapo hawawezi kuifikia,maana ikipigwa vidole tu kwisha,kwa tv za bei rahisi bora TCL,inadumu zaidi,kama hutaki shobo we chukua Lg,NB nasikia tcl ndiyo iliyokuwa Toshiba kabla ya kuuzwa,CHIEF MKWAWA anajua zaidi kuhusu hayo.
 
Tupeane majina ya brands, specification zake na bei zake. Na machimbo wapi zinapatikana ili tuweke na sisi ndani.
Napendelea
Sony 32"
Lg 32"
Tcl 32"
Hicence 32"
Boss 32"
Wenye kujua bei zake zikiwa mpya na pia naomba kujuzwa na bei zake kwa smart tv pia.
Maana huko instagram wauzaji wengine naona wamejaa utapeli. Licha ya kwamba navutiwa na huyu jamaa anaitwa LAMPARD ELECTONICS.

Naishi MWANZA vipi huku mwanza maduka ya electronics kama hizo sijui yapo na bei zimekaaje maana kitu kije kitoke dar kifike mwanza unaweza uziwa kwa bei iliongezeka zaid
 

Hicence, Boss, Lg mwanza zinapatikana kikubwa mfuko wako tu mkuu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…