Ipi Dhana Bora?: CHADEMA wanatumia-BOTTOM UP APPROACH,CCM - TOP DOWN APPROACH

Ipi Dhana Bora?: CHADEMA wanatumia-BOTTOM UP APPROACH,CCM - TOP DOWN APPROACH

Wild fauna

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2012
Posts
461
Reaction score
189
Salamu wakuu,
ukitizama kwa makini utaona jinsi dhana mbili zinazotumiwa na hivi vyama viwili yaani CHADEMA pamoja na CCM. tufanye tathmini ipi dhana bora?

1.BOTTOM UP APPROACH.

chadema ndio wanatumia dhana hii kwa kuamasisha umma,wanataka maamuzi ya wananchi kuhusu rasilimali zao na mambo yote yanayowahusu wananchi yaanzie kwao wananchi ndio yapande juu(management). Dhana hii inafanya maamuzi na mustakabali wa jambo lolote uanze kwenye primary local resource owner who are the one's affected directly or indirect.

2.TOP DOWN APPROACH

dhana hii kwa sasa naona kama imepitwa na wakati (outdated approach). Kwa muundo na mfumo wa dunia wa sasa it simply can not work, dhana hii maamuz na mustakabali wa wananchi unatoka juu kwenye kikundi kidogo cha watu kwenda chini na kikundi hiki kinaamini kwamba wako perfect.

Wanaamini mawazo yao yanaweza kutoa mustakabali wa watu zaidi ya milioni 45, dhana hii ina akisi dictactorship.
Je Ipi Dhana Bora Kati Ya hizi?

Naomba kuwasilisha
 
Bottom up approach ni nzuri sana ila inataka management ya juu sana na kuwepo kwa watu kutoka juu watakaojipenyeza na kujifanya nao ni wananchi wa kawaida, Sababu kubwa ni kuwa wananchi wengi hawana uelewa kuhusu masuala ya msingi na ukiwategemea sana katika kuendesha na kutoa maamuzi lazima itafika point utakwama...

Top-Down model ni mbaya kwa sababu inatoa mwanya wa usultani na kutokuwepo kwa uwajibikaji pindi system inapo-corrupt au kuwa na uvundo, japo to some extent ina mazuri yake pia...

Mapendekezo yangu ni kuchanganya mifumo yote hii miwili hapo ndipo mafanikio makubwa sana huonekana na nafikiri nchi nyingi kubwa zilizoendelea zinachanganya mifumo yote hii miwili.....
 
Cha kushangaza dhana moja (Top down approach) umeishaipiga zengwe (discredited) halafu unaomba watu wazijadili wakati hitimisho lako limeishajulikana.

Cha kufurahisha, hata hiyo dhana nyingine (bottom up approach) haijawahi kutumika Tanzania zaidi ya kutumika kwenye midomo ya watu wachache.

Utawezaje kuanza kujadili dhana mbili wakati moja haijapitishwa kwenye tanuru la moto wa kijamii, kisiasa na kiuchumi.

Kumbuka dhana ya pili ni sawa na Maneno Matupu yasiyovunja mfupa.
 
Salamu wakuu,
ukitizama kwa makini utaona jinsi dhana mbili zinazotumiwa na hivi vyama viwili yaani CHADEMA pamoja na CCM. tufanye tathmini ipi dhana bora?

1.BOTTOM UP APPROACH.

chadema ndio wanatumia dhana hii kwa kuamasisha umma,wanataka maamuzi ya wananchi kuhusu rasilimali zao na mambo yote yanayowahusu wananchi yaanzie kwao wananchi ndio yapande juu(management). Dhana hii inafanya maamuzi na mustakabali wa jambo lolote uanze kwenye primary local resource owner who are the one's affected directly or indirect.

2.TOP DOWN APPROACH

dhana hii kwa sasa naona kama imepitwa na wakati (outdated approach). Kwa muundo na mfumo wa dunia wa sasa it simply can not work, dhana hii maamuz na mustakabali wa wananchi unatoka juu kwenye kikundi kidogo cha watu kwenda chini na kikundi hiki kinaamini kwamba wako perfect.

Wanaamini mawazo yao yanaweza kutoa mustakabali wa watu zaidi ya milioni 45, dhana hii ina akisi dictactorship.
Je Ipi Dhana Bora Kati Ya hizi?

Naomba kuwasilisha

Mbona unauliza maswali wakati your mind clearly has already decided.

Halafu sidhani kama utakuwa unawatendea haki unaposema CDM inataka maamuzi yarudi kwa wananchi wenyewe kuliko maamuzi kuamuliwa na watu wachache.

Kwanza ni vigumu sana kuweza kutimiza mahitaji ya kila mtazania kwenye mitaa minne tu na hapo ndio nimekuonea huruma maana hata katika nyumba kumi tu za mtaa mmoja watu wote hawawezi kubaliana kwenye kila jambo, hivyo compromise is a necessity kwenye siasa.

Kwa maana hiyo hata kwenye sera ya majimbo maamuzi hayawezi amuliwa na watu wote la sivyo suala tu la kuamua kisima kijengwe wapi linaweza kuchukua miezi sita kama kila mtu kwanza aamue halafu ndio itafutwe compromise. Hiwapo mfano mdogo tu unaweza leta kizazaa kweli ni possible kila mtu lazima ashirikishwe kwenye maamuzi labda suala la muda hukurifikiria.

That is impractical where populations are big, kwa maana hiyo hata kwenye siasa za CDM bado kutakuwa na wachache watakao amua ya wengi kwenye majimbo, na kuna wengine wanaweza wasiwe wafuasi wa CDM lakini wataamuliwa tu na wachache wa CDM.

Well first they got to win the election. Halafu watu hawawezi propose such radical changes without peoples' consent wangeanza kwanza kusema wataleta referendum watu waamue kabla ya kuanza kusema itakuwa hivi.
 
Mtoa mada anaelekea yupo mwaka wa kwanza au wa pili chuoni. Kama ameshamaliza chuo basi alidumaa kimasomo alipofika mwaka wa pili. Unaposema "top down na bottom up" unatumia vigezo gani ku-conclude kama ccm wanatumia Td na cdm Bu. Manejimenti ya shughuli za chama (CCM) inapoanzia kwa mabalozi, tawi, kata, wilaya,mkoa na kuishia Taifa hiyo kwako ni 'Top down approach'. Mkakati wa cdm kuanza kujiimarisha kuanzia chini na sio kama ilivyokuwa awali kwako tayari cdm walikuwa au wanatumia Bottom up approach? Ukianzisha mada usiwe 'shallow' vinginevyo una-declare uwezo wako mdogo kuhusu mada unayotoa.
 
Back
Top Bottom