Kibo10
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 11,277
- 8,850
Rais Magufuli mara kadhaa amekuwa akiwaeleza watanzania kuwa siasa zimeisha na sasa ni muda wa kazi bila kujali itikadi ya mtu.
Huwa anasema iwe Ccm iwe Chadema au Cuf wote ni watanzania na wanastahili kuhudumiwa sawa.Anaendaga mbali zaidi kwa kusema Jipu likiwa Ccm litaTumbuliwa even CDM litaTumbuliwa pia,Nia yake ni kuona nchi inasonga toka ilipo kwenda mbele.Rais hupendelea kutumia jina la mungu mara nyingi atamkapo maneno hayo"
Sasa nimejiuliza,Swala la Umeya jiji la Dar si la kisiasa?Mbona halimalizi watu wachape kazi na kujiletea maendeleo anayoyasema?
Vipi kule zanziba?
Unawaletaje watanzania pamoja na Demokrasia inachezewa mchana kweupe?
Unapata wapi maendeleo kama ukishindwa kwa idadi ya madiwani hutaki kukabidhi jiji?
Ipi dhamira ya rais kwa matamshi yake na matendo?
Tuendelee kutafakari!