Matokeo ni +ve?Kuna shampoo naijaribu naona matokeo
Hahaha..sawasawa mkuuMkuu hapana sipo tayari aisee
JIKUBALI kwa na wewe unaingia kwenye hiyo 30%. Kwani nani alikuambia kuwa kipara ni ugonjwa hadi uanze kutafuta dawa?Nywele zangu zinanyonyoka utosini na zinakuwa nyepesi...naona dalili za kipara wajomba zangu asilimia 30 wana vipara.
Sasa salon naponyoa kinyozi kanishauri nitumie mafuta ya mnyonyo yanazuia nywele kupotea...je kuna ukweli wowote...kama sio ni njia ipi ya kuzuia kipara
JIKUBALI kwa na wewe unaingia kwenye hiyo 30%. Kwani nani alikuambia kuwa kipara ni ugonjwa hadi uanze kutafuta dawa?
Ndio utakuta mtu jumapili hadi jupili mtu nywele hazionekani kisa kipara.
Mkuu inaitwaje hiyo?Kuna shampoo naijaribu naona matokeo
Mkuu nashukuru kwa ushauri ila kichwa changu na upara ndio tatizo ni vile vichwa vya Kassim Majaliwa au Membe huwezi kukata zungu yaani ukipata kipara unachekesha