chazdlamarck
JF-Expert Member
- May 29, 2017
- 256
- 95
Kama inavyosomeka hapo kwenye heading naomba kufahamishwa zaidi kuhusu course hizi kwa degree ipi ni nzuri ukiisoma
1.Medical lab
2.Nurse
3.Microbiology
4.Molecular biology & Biotechnology
Ushauri mkuu unahitajika hapa
Ahsanteni
1.Medical lab
2.Nurse
3.Microbiology
4.Molecular biology & Biotechnology
Ushauri mkuu unahitajika hapa
Ahsanteni