chambulila
Member
- Jan 30, 2020
- 16
- 4
combination ipi nzuri kati ya HGE na CBG naombeni maoni yenu wakubwa
combination ambayo ina fursa za ajirawhat do you mean?
At least CBG japo nayo amna kitu ime kua ya wengi kama Arts tu
[/QUOTE
Ndoto yangu ni uhasibuww ndoto yako n nn??
tuanzie hapo.
hge vp?At least CBG japo nayo amna kitu ime kua ya wengi kama Arts tu
matokeo yangu niZote ni takataka ila hge ni takataka zaidi.
I guess elimu yako ni form au labda mwanao, nakushauri kama una C au D ya physics apply diploma ya CLINICAL MEDICINE
kwann hge ni takataka zaidi?Zote ni takataka ila hge ni takataka zaidi.
I guess elimu yako ni form au labda mwanao, nakushauri kama una C au D ya physics apply diploma ya CLINICAL MEDICINE
Achana na hzo mambo mdogo wangu kama Mzee ana hela nenda kasome college (clinical medicine au nursing)combination ipi nzuri kati ya HGE na CBG naombeni maoni yenu wakubwa
hivi ma CO kumbe wanakula mema ya nchi bro?na wahasibu wasemeje sasa?Yes omba CO ule mema ya nchi kuliko usome huo utopolo.
Wezio tunajuta hapa
matokeo yangu ni
hist-c
geo-c
bio-b
chem-c
math-d
phys-d
eng-a
civ-b
kisw-c
Apply clinical medicinematokeo yangu ni
hist-c
geo-c
bio-b
chem-c
math-d
phys-d
eng-a
civ-b
kisw-c
vipi kuhusu accountancyndugu nakushauri toa wazo la form five badala yake omba diploma za engineering vyui kama ARUSHA TECHNICAL, DIT na MUST MBEYA. unaweza omba kozi za Ordinary diploma in electrical engineering
Civil engineering
mechanical engineering
Biomedical equipment engineering etc. Zina maslahi mazuri kupita kozi za afya ila muhimu tu uwe na umahiri kwenye physics na maths.
Hii ni kwale woga wa Physics au Maths ndo wanakimniliaga hii..At least CBG japo nayo amna kitu ime kua ya wengi kama Arts tu
juhud zako ndio fursa ya ajiracombination ipi nzuri kati ya HGE na CBG naombeni maoni yenu wakubwa
kama anahitaji accounts asisome accountancy yenyewe, asome business administration ambapo atafanya pia kazi za acconts na nyingine kwenye taasisi za fedha. Kwasababu ni form four anaanza na certificate in business administration(1yr) kisha ordinary diploma in business administration(2yrs).vipi kuhusu accountancy