Ipi asili ya mtu mweusi??

Mohamedy cadinaly

JF-Expert Member
Apr 24, 2012
2,449
2,238
Nimekuwa nikijiuliza juu ya asili ya mtu mweusi imetokea wapi hasa katika kizazi cha manabii gani ila hadi sasa sijapata jibu halisi. Kwa yeyete mwenye elimu kuhusu hili tusaidiane wakuu
 
Ni uweza na mipango ya Mungu tu mambo mengine huwezi pata majibu.Ukiuliza mtu mweusi baadae utataka kujua mzungu,mwarabu,mchina, mhindi nk.Au vinginevyo ukitafakari sana utakufuru,lkn nakushauri ujiulize kwanza wewe umetoka wapi na umekuja kufanya nini hapa duniani na mbona hukuzaliwa nguruwe?
 
Hv nn maana ya kuwa great thinker?
 
Nachokijua Mimi issue ya watu weusi haikuwa debate ktk zama za manabii ndio maana haikuzungumziwa ktk vitabu vya dini, baada ya kupolomoka ufahamu wa watu wa dini ndio madudu yakazuka na fikra za kiajabu ajabu Mara binadamu wa kwanza alikuwa nyani na mengineyo.
 
haikuwa debated sababu mtu mweusi alikuwepo kwenye maamuzi na matendo ila wakaja wajanja wakaandika vitu wanavyojua wao kufunika historia ya mtu mweusi.
mtu mweusi ni watu kama walivyo watu wengine. Nilikuwa najiuliza sana kwanini tunapigwa vita na watu wa kila rangi? kwanini?
 
Back
Top Bottom