nina tatizo la simu kutopokea wala kutuma kwa blue tooth. Simu yangu ni iphone4, nifanyeje ili simu hii iweze kupokea na kutuma picha, muziki, n.k. Nisaidieni.
Hizo cm si nasikia bluetooth yake ni kwa ajili ya headset tu na sio music/files transfer? Kama unataka kuamisha muziki lazima uistall iTune kwenye pc yako