iPhone

iPhone

Tony Yeyo

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2014
Posts
733
Reaction score
567
Nime tumia iPhone kwa muda mrefu toka kipindi kile cha iphone 3G mpaka sasa Iphone 6 cha ajabu sasa nikiwa natumia simu yoyote ya android naona Kama sio nzuri kabisa na ngumu kutumia... Hii ni kwangu Tu au tupo wengi?
 
Tupo wengiiii, yani akili inagoma kabisaaa kukubali simu zingine
 
Nime tumia iPhone kwa muda mrefu toka kipindi kile cha iphone 3G mpaka sasa Iphone 6 cha ajabu sasa nikiwa natumia simu yoyote ya android naona Kama sio nzuri kabisa na ngumu kutumia... Hii ni kwangu Tu au tupo wengi?

Ni kwako tu. halafu kalale huu sasa ni muda wa walinzi
 
jaribu BlackBerry 10 smartphone hasa hasa z30, classic au passport
 
Back
Top Bottom