Ukipigiwa simu bila ya shaka unaona namba lakini kujua mtu yuko wapi hiyo ni ngumu.
Au kama ni simu international unaweza kuona nambari pia ila wakati mwengine huwa mtu hajui namba ya kigeni ni ya nchi gani.
Nakushauri download Tango kwani hapo kuna orodha ya nchi zote pamoja na code namba zao.
mkuu ni app gani nzuri na basic kwa mtu wa kawaida kwa iphone?Ikiwa kuna mtu au watu wanakusumbua kwa kukutumia msgs au kukupigia simu za kukukera basi watu wa aina hiyo unaweza kuwazuia, yaani unawa-BLOCK.
Unaanza na Settings kisha Phone, ukibinya hiyo Phone itafungua page nyengine utaona Add New.
Ukibinya Add New itajitokeza contact list yako yote, hapo utachagua ni nani na nani unataka kumzuia (BLOCK) kisha unabinya jina lake na inakuwa tayari mtu huyo umeshamzuia, yaani BLOCKED.
Ama ikiwa unataka kumfungulia unaanza Settings kisha Phone. Ukibinya Phone na page inayofatia utaona Blocked, ukibinya Blocked kutajitokeza jina au majina ambayo umezuia.
Cha kufanya hapo unabinya Edit kisha itajitokeza alama nyekundu kwenye jina na hapo unabinya hiyo alama nyekundu, kisha panakuja neno UNBLOCK.
Ukibinya hiyo UNBLOCK itakuwa umeshamfungulia yule ambae ulikuwa umemfungia.
Enjoy your iPhone.
Ikiwa kuna mtu au watu wanakusumbua kwa kukutumia msgs au kukupigia simu za kukukera basi watu wa aina hiyo unaweza kuwazuia, yaani unawa-BLOCK.
Unaanza na Settings kisha Phone, ukibinya hiyo Phone itafungua page nyengine utaona Add New.
Ukibinya Add New itajitokeza contact list yako yote, hapo utachagua ni nani na nani unataka kumzuia (BLOCK) kisha unabinya jina lake na inakuwa tayari mtu huyo umeshamzuia, yaani BLOCKED.
Ama ikiwa unataka kumfungulia unaanza Settings kisha Phone. Ukibinya Phone na page inayofatia utaona Blocked, ukibinya Blocked kutajitokeza jina au majina ambayo umezuia.
Cha kufanya hapo unabinya Edit kisha itajitokeza alama nyekundu kwenye jina na hapo unabinya hiyo alama nyekundu, kisha panakuja neno UNBLOCK.
Ukibinya hiyo UNBLOCK itakuwa umeshamfungulia yule ambae ulikuwa umemfungia.
Enjoy your iPhone.
hujanisaidia nilicho uliza...nitajie wewe unazozifahamu na zinatumika vipi!!!!iPhone ina 'App Store' yake kwa hiyo ukiingia hapo unaweza kutafuta application unayoihitajia na ukaipata.
hujanisaidia nilicho uliza...nitajie wewe unazozifahamu na zinatumika vipi!!!!
ahsante mkuu inatumikaje hii spendbookFind this App nzuri sana kwa kufanya budget ya fedha zako
Offer ina expire leo:
Spendbook
In this world nothing is certain than Tax and Death.
Bro mbona kwenye itune c ipati hii soft ware au ni yakununua
Ok poa mkuu Bu icon yake ikoje mkuuu
we ndo unajichanganya,hizo ni comment za watu wawili tofautiIyo iliyoandikwa spendbook au maana kule umeeandika true caller sasa hapo ndo nachanganya niandikeje