Mkuu
Saint Ivuga mimi siyo mtumiaji wa bidhaa za Apple lakini kuna kitu kinaitwa I cloud nadhani kitakusaidia hasa kama una I phone na I pad yaani simu yako ukiipoteza kila kinachofanywa na jamaa mwenye simu yako unakiona na kukipata kwenye I pad yako. hata akipiga picha na kuzitunza au kutuma sms utaiona tu. kuna jamaa yangu wa Angola alipoteza I phone yake Club na tulikutana naye USA akanunua I pad ile ku-setu kila kitu tu akaanza kupata information za simu yake iliyoko Angola wakati yeye yuko USA nilimuuliza akasema ni I cloud. Does this answer your question mkuu??