Iphone mwaka huu Wana balaa

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,285
Reaction score
2,595
Fahamu kuhusu Audio message kwenye simu yako

Sio kila wakati / nyakati unataka kusikiliza voice message kwenye simu yako ya iphone. Tuchukulie uko sehemu yenye watu wengi alafu Ujachukua Earphones umetumiwa ujumbe wa sauti utaki watu wasikie unafanyaje?

Apple wamekuja na feature mpya kwenye ios ya 17 ambayo inaitwa Audio Message utakua na uwezo wa ku tafsiri voice message ya sauti kuwa ujumbe na kuweza kusoma kwenye simu yako badala ya kusikiliza.

Utaweza kuona chini ya Audio file lako ulilotumiwa utaweza kusoma message badala ya kusikiliza sauti uliyotumiwa na rafiki, ndugu, jamaa, mpenzi nk.

Hii ni feature ambayo ilikuwepo toka mwaka jana kwa watumiaji wa simu za Google pixel 7 pamoja 7 pro Google ndo walikua wa mwanzo kutambulisha huu mfumo.

Unaionaje hii feature tuachie maoni yako si unajua teknolojia ni Yetu sote [emoji3060]
 
Sasa hiyo inatofauti gani na live caption ya Google pixel?

Hapa mi nasikiliza nyimbo inaniandikia kila kitu kinachoimbwa.

Tena live caption inaonekana iko beyond kwasababu ina operate sehemu yeyote haiko fixed sehemu moja.

Nb: Navyojua hiyo feature iko compatible na lugha ya kiingereza au zile top languages

Ila meseji ukitumiwa ya kiswahili au ya kilugha huwezi kupata maneno sahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ