Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,221
- 2,425
Toleo jipya la iOS 26 inaweza kuja na feature mpya ambayo inatumia Teknolojia ya Apple intelligence yenye kukuonyesha ni asilmia ngapi imebaki kwenye Simu yako ukiwa umechomeka chaji ili kujaa.
Ni feature ya kawaida ila inasaidia sana kujua ni kwa muda gani inachukua kuweza kujaa full lwa kuonyesha ni asilmia ngapi zimebaki. Feature hii ilibidi ianze kupatikana kwenye ios 19 lakini apple wataweza kuruka na kutoa iOS 26 badala ya ios 19.
Japo feature hii sio ngeni kwenye simu zinazotumia mfumo wa android kama vile Samsung, Infinix, Oppo, OnePlus, Vivo, Tecno nk.
Unawaambiaje Watumiaji wa simu za iphone!!! 😁😁
