Iphone jinsi ya kutuma nyimbo kwa whatsapp

Iphone jinsi ya kutuma nyimbo kwa whatsapp

Zande

Member
Joined
Aug 9, 2016
Posts
7
Reaction score
1
Fahamu jinsi ya kutuma nyimbo kutoka kwenye Iphone yako nakushare na mtu mwingine kwa watsapp

 
Fahamu jinsi ya kushare nyimbo toka kwnye iphone yako nakutuma kwa whatsapp

 
Mmmmmh Simu Hizi Zina Matatizo Gani.. Mbona Si User friendly .. hata Kutuma Nyimbo nayo Ina Tutorial..

Mi nitabaki Android
 
Pia unaweza tumia application inayoitwa Document5 au Shareapp lite nazo pia zitakuruhusu kutuma kwenye whatsapp mafile yaliyopo katika music galery yako
 
Back
Top Bottom