Mkuu ulinunuaje simu yenye iCloud na bila kupewa details/credentials zake? Hapo ni msala mkubwa ki usalama kwanza hauko safe labda simu imehusika kwenye matukio ya kiharifu ukaja kushikishwa wewe kesi.habari wakuu kuna i phone inaandika km hivo hapo juu je niki connect itune itarudi km awali nina wasi wasi kuwa itahitaji i cloud na simu yenyewe nimeziwa mtaani hata i cloud sijapewa je kuna msaada naweza upata hapa au niachane nayo
iphone 4 line inasoma so napokea tu ila siwezi fanya loloteMkuu ulinunuaje simu yenye iCloud na bila kupewa details/credentials zake? Hapo ni msala mkubwa ki usalama kwanza hauko safe labda simu imehusika kwenye matukio ya kiharifu ukaja kushikishwa wewe kesi.
Pili kutoa iCloud inategemeana na matoleo ya iPhone. Nafikiri kutoa iCloud ki ujanja ni mwisho iPhone 4 kushuka chini napo zitakutoka fwedha mingi na kuna possibility simu ikawa kama tablet tu kwamba haitosoma network sijajua mpaka sasa labda wajuzi wananyofoa mpaka hizi recently versions.
habari wakuu kuna i phone inaandika km hivo hapo juu je niki connect itune itarudi km awali nina wasi wasi kuwa itahitaji i cloud na simu yenyewe nimeziwa mtaani hata i cloud sijapewa je kuna msaada naweza upata hapa au niachane nayo
Huyu ali buypass hiyo simu hakukueleza vizuri uki baypass icloud kuna baadh huwa zina zima network sasa kuna namna ya kurudisha networkukikonect na itunes itadai icloud na pia ukisema ui restore kupitia itunes itaanza kufanya software updates [ ina upgrade firmware ios ]
japo hizo icloud znondolewa kwenye simu na zina price zake kulingana na simu .
Binafsi niliagiza UK imekuja na icloud afu jamaa hakuwa active tena mm nimebypass tu. nafikiria niiremove icloud mazima soon.
ukibypass inakua haipigi simu ila functions zingine zoote inafanya utatumia wireless. ukihtaji kuirestore bila ku upgrade ios tumia 3u tool
Kama hauna icloud ujue mpaka uibypass kwa kulipia Ndo isome line upya,na hapo nazungumzia iphone 6 na 6 plus baas,kuanzia iphone 6s yenye ios 15 hautaweza kabisa kuitumiahabari wakuu kuna i phone inaandika km hivo hapo juu je niki connect itune itarudi km awali nina wasi wasi kuwa itahitaji i cloud na simu yenyewe nimeziwa mtaani hata i cloud sijapewa je kuna msaada naweza upata hapa au niachane nayo
Broo nimetoa iphone X kila kitu kipo sawaKama hauna icloud ujue mpaka uibypass kwa kulipia Ndo isome line upya,na hapo nazungumzia iphone 6 na 6 plus baas,kuanzia iphone 6s yenye ios 15 hautaweza kabisa kuitumia
Sent from my CPH2217 using JamiiForums mobile app
Ios 15??Broo nimetoa iphone X kila kitu kipo sawa
Na Iphone 6s nazo vipi?Kama hauna icloud ujue mpaka uibypass kwa kulipia Ndo isome line upya,na hapo nazungumzia iphone 6 na 6 plus baas,kuanzia iphone 6s yenye ios 15 hautaweza kabisa kuitumia
Sent from my CPH2217 using JamiiForums mobile app
ukikonect na itunes itadai icloud na pia ukisema ui restore kupitia itunes itaanza kufanya software updates [ ina upgrade firmware ios ]
japo hizo icloud znondolewa kwenye simu na zina price zake kulingana na simu .
Binafsi niliagiza UK imekuja na icloud afu jamaa hakuwa active tena mm nimebypass tu. nafikiria niiremove icloud mazima soon.
ukibypass inakua haipigi simu ila functions zingine zoote inafanya utatumia wireless. ukihtaji kuirestore bila ku upgrade ios tumia 3u tool
na ambayo imekuwa bypassed haina mtandao,vipi ukiiupdate kupitia itune inafungwa tena??
6s ina 14.7
Bnafsi nina 6s plus ilkua bypassed na ikafungwa find my phone hivyo haiwezi kutumia ICloud tena, hofu yangu ni kua inaomba update ya ios 15.1 nawaza niki update haito zingua kweli.?
Huyu ali buypass hiyo simu hakukueleza vizuri uki baypass icloud kuna baadh huwa zina zima network sasa kuna namna ya kurudisha network