Iphone haitoki katika recovery mode, help plzzzz

Thanks alot wadau finally nimefanikiwa ku unlock dah,yani am happy man na bahati nzuri nili backup everthing katika itunes so kila kitu ninacho,safi sana JF Amoeba and Leon thanks man.

Dah wajameni hii iphone 3G baada ya kui upgrade kwenda 4.2 nikajaribu ku erace data baada ya kujiri start ikaja tena kwenye recovery mode,sa sijui nianzie wapi kuifufua tena.
 
kuna njia nyingi za kutoa kwenye recovery nyingine zimeshaelezewa hapa kwenye hii thread pia jaribu ku-google

Ushauri wangu:

Hamia kwenye iPhone 4 na kuendela ili upate raha ya iOS kwa kupata apps nyingi. hiyo 3G ya zamani sana
 
Ahsante kwa ushauri ndugu,nishahamia huko 4s muda sasa ila najiskia tu kuitengeza hii 3G maana itaweza msaidia yeyote kama itapona,
 
Back
Top Bottom