Sijawahi kuonaga utamu wa IOS hata, bado android atabaki kuwa juu kwangu.
Mimi kwenye simu cha kwanza ni freedom na iwe na peformance nzuri, security ni kipaumbele cha mwisho kabisa kwangu kwa sababu sionagi tofauti kwa watumiaji wa Apple ambao simu zao zina security kubwa, naona wote ni vilevile tu.Sijawahi kuonaga utamu wa IOS hata, bado android atabaki kuwa juu kwangu.
Android ni unyama saana mkuuMimi kwenye simu cha kwanza ni freedom na iwe na peformance nzuri, security ni kipaumbele cha mwisho kabisa kwangu kwa sababu sionagi tofauti kwa watumiaji wa Apple ambao simu zao zina security kubwa, naona wote ni vilevile tu.
Android ndio unyama kwangu
Safari hii wamezibwaga simu mapema sana.iphone x ina miaka 5 tu toka itoke,wakati 6s imekula support miaka 7 n miaka 8 security update imepata.
Wameiruka xr na xmax maana ingekua wanapita mule kwa android miaka 4 na hawataki iwe hivyo.
SE ya 2022 anapata?Mbaya kwa wenye chini ya xplain
Kama hadi leo hii unanunua simu sababu ya Wall Paper Options basi wewe bado hujakomaa au ni mtoto kiakiliIos ni nzuri kwenye security na mengine kitu wanacho zingua ni sehemu moja tu wavivu kubuni wallpaper mpya ios 16 main wallpaper ni 3 tu.ndio maana samsung kuna baadhi ya vipengele anazidi kuchukua credits