Wewe jamaa si mtu mzuri umesababisha mimi nisipate msaada hivyo kunikosesha zaidi ya 50,000/ maana naona kila mtu sasa anaogopa kutoa msaada!!!Na hapa ni mjini umelaza watoto wangu njaa bure kabisa. Maana wengi mafundi hukimbilia hapa JF kupata au kuongezea ujuzi!!!! Haya bwana aksante kwa kuuvuruga uzi wangu bure!!!.