IPHONE 7 PLUS

Ndugu phares futa hiyo identity yako hapo juu itakuletea shida ooops Echolima

Siwezi futa maana hiyo simu si yangu nimeletewa tu Jamaa anataka kulipia app imemgomea nami niliposhindwa nikaja kwa wadau.Hivyo siwezi badili chochote hapo!!
 
Hahahahahaha bwana Phares anafikiri kina Shamimu Mwasha wameenda jela kwakupenda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hivi Ubinadamu siku hizi umeenda wapi watu wanafikiria kufunga watu tu!!!
 
Toka wiki iliyopita simu inaniletea Manyanga haya je kuna yeyote anaweza nisaidia kutatua?View attachment 1742552
Mbona una jina zuri tu,kwanini ujiite echolima?
Siwezi futa maana hiyo simu si yangu nimeletewa tu Jamaa anataka kulipia app imemgomea nami niliposhindwa nikaja kwa wadau.Hivyo siwezi badili chochote hapo!!
Kumbuka umesema toka wiki iliyopita simu imekuletea manyanga bwana phares
Hivyo hiyo ni simu yako sio ya jamaa
 
Mbona una jina zuri tu,kwanini ujiite echolima?

Kumbuka umesema toka wiki iliyopita simu imekuletea manyanga bwana phares
Hivyo hiyo ni simu yako sio ya jamaa

Hakuna jina baya maadamu unaitwa nalo!!
 
Mbona una jina zuri tu,kwanini ujiite echolima?

Kumbuka umesema toka wiki iliyopita simu imekuletea manyanga bwana phares
Hivyo hiyo ni simu yako sio ya jamaa

Wewe ndiyo unasema hivyo lakini kwangu ililetwa kutatua tatizo na iliposhindikana nikaleta kwa wakongwe wa iphone ipate suluhisho!!
 
Mbona una jina zuri tu,kwanini ujiite echolima?

Kumbuka umesema toka wiki iliyopita simu imekuletea manyanga bwana phares
Hivyo hiyo ni simu yako sio ya jamaa

Phares hakuna namna anaruka hii case
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…