Iphone 7 kuzinduliwa Leo

Bei yake kwa hapa ni sh. Ngapi? Nimesoma eairphone ni kama wireless
 
Bado wanazingua kwny battery 1960 hawako seriaz

Huna haja ya kuwa na battery zenye maH kubwa. Ila apple nawaaminia jinsi softaware na hardware zilivyo customized.
 
32GB - $649 (£599, AU $1,079)

128GB - $749 (£699, AU $1,229)

256GB - $849 (£799, AU $1,379)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…