Nilikuwa na simu kama hiyo tatizo ilikuwa ni kutokuingiza chaji kumbe kwa ndani kulikuwa na uchafu jamaa akachukua kama sindano akaanza kutoa ule uchafu kwenye sehemu ya chaja baada ya kuchomeka chaji ikafanya kazi vzr tu