Kuna jamaa alitangaza anauza s6 laki 2
Mnunuzi : kwahio unasema hio simu ni nzima? Haina tatizo lolote?
Muuzaji: simu ni nzuri kaka, iko poa kabisa.
Mnunuzi: kama ni hivyo basi sawa, ila tu nakutahadhariaha, hii simu nampelekea bro ndio anaye itaka na ni askari polisi, sasa angalia tusije kupelekana pabaya simu ikiwa utadanganya. Nakutumia okay, niletee hapa mlimani cify ilinikulipe kabisa.
Muuzaji : embu subiri, hii aimu bnaa inachemka sana; ukiichaji ikifika dk tano inatoa kelele kuashiria chaji imejaa, na ukichomoa. Baada ya dakika mbili inazima.
Halafu imepaauka acreen