Iphone 6 icloud activation unlock

Iphone 6 icloud activation unlock

Robert_Carlos

Member
Joined
Aug 2, 2018
Posts
16
Reaction score
3
Ivi kwa Tanzania unaitoa vipi iPhone 6 icloud activation
iPhone6-SpGry-2Up-34L_US-EN-SCREEN.jpg
images.jpg
 
Sitakuwa na huruma nikikuta mwizi amekamatwa sehemu akipokea kichapo ndio kwanza na mm nitamchangia, maana walinipa stress ikabidi nigide ma-valeur mpaka uso unakufa ganzi siku 3 mfululizo
Jomba me naweza mla nyama nimenunua Microsoft 1025 nimetumia siku 4 nimeweka chaji mezani naamka asubuhi imebaki changer tu
 
Sitakuwa na huruma nikikuta mwizi amekamatwa sehemu akipokea kichapo ndio kwanza na mm nitamchangia, maana walinipa stress ikabidi nigide ma-valeur mpaka uso unakufa ganzi siku 3 mfululizo
Umuue mwizi kisa simu ya 1M?
Si ukauwe wezi wa escrow, richmond na epa wanao iba mabilioni?

Kweli kaiba, lkn hukumu sio kifo, kifo ni mbali sanaaa.
 
Umuue mwizi kisa simu ya 1M?
Si ukauwe wezi wa escrow, richmond na epa wanao iba mabilioni?

Kweli kaiba, lkn hukumu sio kifo, kifo ni mbali sanaaa.
Simu ya 1Mil, lakini content yake ni priceless, vitu ambavyo very personal to me, halafu na vile wabongo tuna skimp kununua extra storage icloud ndio majuto, btw mwizi ni mwizi tu aibe kijiko aibe ndege.
 
Back
Top Bottom