Mkuu, tatizo sio battery, tatizo matumizi, utakuta mtu application 10 zinarun background huku upo kwenye youtube unaangalia video throughout the day, mda wote mtu anabonyrezabonyeza simu, hata wafanye improvement vipi hakuna mtu atakayelidhika na kudumu kwa battery