haha!! Mkuu mnisamehe, I thought mtu akiwa serious atanicheki tu inbox au kwenye namba!! anyways nitajitahidi ku rectify ilo kosa! Certified Hater, user name yako ya kibabe sana mkuu!!Yani umeweza kuandika yote hayo halafu umeashindwa kuweka bei yani digits zisizo zidi 6
Dooh mkuu hiyo ni hela ndefu kwa hali ya sasa, sema imepungua kwa uchache sana! panda kidogo tufanye business!!Kuna 350 cash
ki vipi mkuu?!Msipende kununua vitu ambavyo havilingani Na maisha yako
Unanua kitu hata hakimalizi mwez unauzaki vipi mkuu?!
mkuu! hujui hali yangu halisi ya maisha! no offence! by the way sijawahi itumia na even now siitumii! I'm trying to do business sio kwamba imenishinda matumizi! by the way kwanini inishinde?! Iphones kimekuwa kitu cha kawaida! anyways, sikuwa na plan ya kukujibu hivi ila jaribu kufikiria unachoondika before huja comment!Unanua kitu hata hakimalizi mwez unauza
Tunaambiana ndugu siyo ugomvimkuu! hujui hali yangu halisi ya maisha! no offence! by the way sijawahi itumia na even now siitumii! I'm trying to do business sio kwamba imenishinda matumizi! by the way kwanini inishinde?! Iphones kimekuwa kitu cha kawaida! anyways, sikuwa na plan ya kukujibu hivi ila jaribu kufikiria unachoondika before huja comment!
yep! na mimi nlikuambia tu! haukuwa ugomvi!! nlijibu hoja yako!😊Tunaambiana ndugu siyo ugomvi
Freshyep! na mimi nlikuambia tu! haukuwa ugomvi!! nlijibu hoja yako![emoji4]