Iphone 6 16GB for sale, laki7 tu

Iphone 6 16GB for sale, laki7 tu

Iyo ndugu yangu ya kwako, mara nyingi iphone ikiwa locked kuifungua kwa apa bongo ni isue xn, kaka yangu mm alikuwa na iphone 4s moja hv ilikuwa locked imeshindikana mpaka wameenda ku unlock china ndio imekubali, maana alimtumia bro wangu mwingine ambaye yuko kule
Fyi, unahitaji serial number tu kuweza unlock iphone iliyokuwa network locked, sielewi why ndugu yako ilimlazimu kutuma simu china, maana angeweza tuma imei tu, akatumiwa unlocking code.
 
Back
Top Bottom