Gulf Streamer
Member
- Aug 7, 2014
- 90
- 40
nauza I phone 6 16GB kwa laki saba tu!
Simu ni kama mpya, bado ipo locked kwa t mobile, kuifanya uitumie hapa tz itakubidi utoe laki na nusu kwa watu wanao unlock simu, hata humu jf wapo wengi tu!
Karibu kwa swali lolote!

Isipokuwa APPLE tu.......Iphone ambayo iko locked kwenye i-cloud haiwezi kufunguliwa popote pale hapa duniani!!!
Iphone ambayo iko locked kwenye i-cloud haiwezi kufunguliwa popote pale hapa duniani!!!
unlock it and be back for business.
Mimi nilimaanisha i-cloud, whatever the case aifungue kwanza.Nadhani haipo locked na icloud bali ipo locked na mtandao wa t mobile
na kunlock hiyo ni simple tu
Apple = IphoneIsipokuwa APPLE tu.......
Laki saba tu???