Replies
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 1,497
- 453
Uza kama spea.. I cloud ningumu sana kuitoa
duu unakatisha tamaa kabisa
naomba ajaribu hivi asubiri update zinazokuja automatically then anapo upgade atapata option ya kubadili icloud account
au ku add another account nilfanya hivyo katika iphone 4s yangu baada ya kuzunguka kila sehemu but now aaah kama kumsukuma mlevi nanunua vitabu kila kitu
PAUL SS nilicho kiandika hapo ndicho nilichofanya katika cm yangu ya IPHONE 4s nimesema ajaribuMuongo wewe
Ntasimamia hivyo unless you prove me wrong kwa evidence angalau hata ya article tu
Simu ikiwa kwenye lost mode au ikikwama kwenye activation lock unayotakiwa kuingiza Apple id,, theres nothing you can do my friend
Labda iphone 4 kushuka chini
PAUL SS nilicho kiandika hapo ndicho nilichofanya katika cm yangu ya IPHONE 4s nimesema ajaribu
mie simu yangu I did that baada ya kuhangaika sana
duka la iphone uchumi
duka la iphone mlimani city
kichwele
[h=1]Request : Unlock iCloud activation[/h]Get started From Here :
Humtakii mema mwenzako unamuelekeza aende akapigwe hela na hao scammer?[h=1]Request : Unlock iCloud activation[/h]Get started From Here :
Check if your idevice can be unlocked from the block of iCloud
Remove iCloud Activation from ANY iPhone, Itouch & iPad. Works with ANY IMEI ANY Carrier, ANY Serial & ANY iOS Version. Switch Find My iPhone from ON to OFF
The service is compatible with iPhone 4, 4s, 5, 5c, 5s, 6, 6 plus and all iPad , iPod Touch idevices.
Search the IMEI Number of your device Cellular and put it.
Search the Serial Number of your device not Cellular and put it.
Wait for the confirmation email with the link to order unlock icloud.
Thats it.
Add a new iCloud account because Find My iPhone is removed.
After the process completes, you can use a new Apple ID to set up the device as new before Find My iPhone is disabled and iCloud Activation Lock is removed and bypassed. The solution works with all iPads, iPod Touch and iPhone models. Use this official iCloud Removal Service to get your device working today!
ilikuwa na id ya mtu mwingine na ndo maana nikasema asubiri update hapo atakuwa na access ya kuongeza icloud acc nyngine simu zina access ya accounts zaidi ya mojaHatubishani mkuu tuelekezane
Simu yako ilikuaje haswa hadi ukapata access ya ku update
Ulikua unatumia lakini ina id ya mtu mwingine?
Au ilikua imekwamia inakutaka uingize apple id?
Sababu unapotaka ku update ios sharti la kwanza kabisa ni lazima uizime find my iphone ambayo inahitaji hiyo apple id
Bila hivyo huwezi ku update
Kama kuna anayeweza kutoa ninayo yangu,0715378899
duu unakatisha tamaa kabisa
naomba ajaribu hivi asubiri update zinazokuja automatically then anapo upgade atapata option ya kubadili icloud account
au ku add another account nilfanya hivyo katika iphone 4s yangu baada ya kuzunguka kila sehemu but now aaah kama kumsukuma mlevi nanunua vitabu kila kitu
Sasa nimekuelewa,ilikuwa na id ya mtu mwingine na ndo maana nikasema asubiri update hapo atakuwa na access ya kuongeza icloud acc nyngine simu zina access ya accounts zaidi ya moja
mie c mtaalamu but I did that and am proud of that,
Muuliza swali kakwamia hapa sasaI guess unachokiongelea ni tofauti na hiki kwenye picha.
![]()