IPhone 5s gold

IPhone 5s gold

emilwayne

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2011
Posts
265
Reaction score
19
I need the above mentioned phone in good condition. Call me on 0712868278
 
Why huwa hamuwek ful detail?

detail gani sasa unahitaji wakati huyo jamaa anahitaji hiyo bidhaa tajwa hapo juu? mbona naona imejitosheleza hiyo title yake hapo juu mkuu?
Au unadhani kila kitu kina detail zaidi?
 
detail gani sasa unahitaji wakati huyo jamaa anahitaji hiyo bidhaa tajwa hapo juu? mbona naona imejitosheleza hiyo title yake hapo juu mkuu?
Au unadhani kila kitu kina detail zaidi?

Unatosheleza kuitwa great thinker! Thanks for helping...
 
I need the above mentioned phone in good condition. Call me on 0712868278

naona unataka kuwa mbele ya muda mkuu, hiyo kitu kwa 16gb ukiagza inafika na around 1.3M! Nliona jamaa anuza sehem kwa 1.6
 
Kaka confirm kama kweli uko serious nikupe mawasiliano, maana jamaa mwenyewe hapendi longolongo!

Haya ndio mambo tunayoita yakitoto humu. Mtu mpaka na andika advertise means I'm serious. Sasa unauliza mara tatu tatu vp mkuu??
 
Back
Top Bottom