UncleBen
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 9,693
- 12,320
Oh asante Mkuu ila kuna tofauti ya S na CYa zamani. Simu ndo mpya.
Oh asante Mkuu ila kuna tofauti ya S na CYa zamani. Simu ndo mpya.
Tofauti ipo ndugu.Oh asante Mkuu ila kuna tofauti ya S na C
😀😀😀 UncleBen unamchingua mshkaji 😀Oh asante Mkuu ila kuna tofauti ya S na C
Hahaha hamna ndugu yangu ,mimi ndio nilikua sijaelewa hiyo series ya 5C aisee😀😀😀 UncleBen unamchingua mshkaji 😀
Ok hizo si ndio zile zenye gamba la plastiki nyuma ya rangi tofauti. nadhani zimetoka kama miaka minne nyuma.Hahaha hamna ndugu yangu ,mimi ndio nilikua sijaelewa hiyo series ya 5C aisee
Ndio hizo hizo nadhani MkuuOk hizo si ndio zile zenye gamba la plastiki nyuma ya rangi tofauti. nadhani zimetoka kama miaka minne nyuma.