iphone 5 au 5s inahitajika haraka

MARCO JOHN

Member
Joined
Jun 1, 2012
Posts
96
Reaction score
35
Wakuu nahitaji iphone yeyote kati ya hizo mbili kwa mwenye nayo na anaiuza ani PM tufanye biashara bila longolongo...nawasilisha
 
Iphone 5 Iko ktk hali nzuri sana , ni kama Mpya ,sh. 600,000. Piga 0658131333
 
Hautaweza kununua. Nakushauri under apple store uchukue mpya kabisa. Ili kuondoa lawama ya bei.
 
Kwahyo apple store ndo bei ndogo kuloko hizi za mikononi mwa watu mkuu?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…