Madam zero
JF-Expert Member
- Jan 20, 2013
- 221
- 18
Sawa umesomeka kijana. But wawe kutangaza nami kwenye
Mutalemwa blog ili ukaziuze simu zako faster faster, nihayo tu.
Uko wapi?.. mimi niko arusha huna iphone 4?..
Nauza kila aina ya simu,unataja simu unayoipenda then nitakutajia bei zetu ukikubali ntakutolea oda then zinatumwa tanzania,karibu san,niko dar
Galaxy ace 2
SONY X-PERIA M. Bei?
Nataka galaxy note one